Isaya 10:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Nilimtuma kuliadhibu taifa ovu,nilimwamuru kuwaadhibu watu niliowakasirikia,kuwapora na kuteka nyara,na kuwakanyaga chini kama tope njiani.

Isaya 10

Isaya 10:1-7