Isaya 10:32 Biblia Habari Njema (BHN)

Leo hii, adui atatua Nobu,atatikisa ngumi yake dhidi ya mlima Siyoni;naam, atautikisia ngumi mji wa Yerusalemu.

Isaya 10

Isaya 10:27-34