Isaya 10:29 Biblia Habari Njema (BHN)

Amekwisha pita kivukoni,usiku huu analala Geba.Watu wa Rama wanatetemeka kwa hofu,wakazi wa Gibea, mji wa Shauli, wamekimbia.

Isaya 10

Isaya 10:28-34