Isaya 10:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Mungu aliye mwanga wa Israeli atakuwa kama moto,Mtakatifu wa Israeli atakuwa mwali wa motoambao kwa siku moja utateketeza kila kitu:Miiba yake na mbigili zake pamoja.

Isaya 10

Isaya 10:11-20