Isaya 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Nchi yenu imeharibiwa kabisa;miji yenu imeteketezwa kwa moto.Wageni wananyakua nchi yenu mkiona kwa macho,imeharibiwa kama uharibifu wa Sodoma.

Isaya 1

Isaya 1:1-16