Isaya 1:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Viongozi wako ni waasi;wanashirikiana na wezi.Kila mmoja anapenda hongo,na kukimbilia zawadi.Hawawatetei yatima,haki za wajane si kitu kwao.

Isaya 1

Isaya 1:18-31