Isaya 1:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Msiniletee tena matoleo yenu yasiyo na maana;ubani ni chukizo kwangu.Acheni kufanya sikukuu za mwezi mpya,Sabato na mikutano mikubwa ya ibada;sikubali ibada zilizochanganyika na dhambi.

Isaya 1

Isaya 1:12-17