Hosea 9:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Siku za adhabu zimewadia,naam, siku za kulipiza kisasi zimefika;Waisraeli lazima wautambue wakati huo!Nyinyi mnasema, “Nabii ni mpumbavu;anayeongozwa na roho ni mwendawazimu.”Mnasema hivyo kwa sababu ya uovu wenu mkubwa,kwa sababu ya chuki yenu kali dhidi yake.

Hosea 9

Hosea 9:5-13