Hosea 7:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Kama tanuri iwakavyo,mioyo yao huwaka kwa hila;usiku kucha hasira yao hufuka moshi,ifikapo asubuhi, hulipuka kama miali ya moto.

Hosea 7

Hosea 7:1-10