Ole wao kwa kuwa wameniacha!Maangamizi na yawapate, maana wameniasi.Nilitaka kuwakomboa,lakini wanazua uongo dhidi yangu.