Lakini sitawaadhibu binti zenu wanapofanya uzinzi,wala bibi arusi wenu wanapofanya uasherati,maana, wanaume wenyewe ndio wanaofuatana na wazinzi,na kutambikia pamoja nao katika ibada za uzinzi.Watu hawa watovu wa akili hakika wataangamia!