Hosea 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo wakati wa mavuno nitaichukua nafaka yangu,nitaiondoa divai yangu wakati wake.Nitamnyang'anya nguo zangu za sufu na kitani,ambazo zilitumika kuufunika uchi wake.

Hosea 2

Hosea 2:1-11