Hosea 2:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Mama yao amefanya uzinzi,aliyewachukua mimba amefanya mambo ya aibu.Alisema; “Nitaambatana na wapenzi wangu,ambao hunipa chakula na maji,sufu na kitani, mafuta na divai.”

Hosea 2

Hosea 2:1-9