Hosea 2:3 Biblia Habari Njema (BHN)

La sivyo, nitamvua nguo abaki uchi,nitamfanya awe kama alivyozaliwa.Nitamfanya awe kama jangwa,nitamweka akauke kama nchi kavu.Nitamuua kwa kiu.

Hosea 2

Hosea 2:2-10