Hosea 2:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Huko nitamrudishia mashamba yake ya mizabibu,bonde la Akori nitalifanya lango la tumaini.Atanifuata kwa hiari kama alipokuwa kijana,kama wakati alipotoka katika nchi ya Misri.

Hosea 2

Hosea 2:11-23