Hosea 13:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Yuko wapi sasa mfalme wenu awaokoe?Wako wapi wale wakuu wenu wawalinde?Nyinyi ndio mlioomba:‘Tupatie mfalme na wakuu watutawale.’

Hosea 13

Hosea 13:3-16