Mwenyezi-Mungu asema, “Mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wako;mimi ndimi niliyekutoa nchini Misri!Mimi nitakukalisha tena katika mahema,kama ufanyavyo sasa kwa siku chache tu,wakati wa sikukuu ya vibanda.