Hosea 11:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitaizuia hasira yangu kali;sitamwangamiza tena Efraimu,maana mimi ni Mungu, wala si binadamu.“Mimi ndimi Mtakatifu miongoni mwenu,nami sitakuja kuwaangamiza.

Hosea 11

Hosea 11:2-12