Hosea 11:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Niliwaongoza kwa kamba za hurumanaam, kwa kamba za upendo;kama baba amwinuaye mtoto mpaka shavuni mwake,ndivyo nami nilivyokuwa kwao.Mimi niliinama chini na kuwalisha.

Hosea 11

Hosea 11:2-8