Hesabu 7:71 Biblia Habari Njema (BHN)

fahali wawili, kondoo madume watano, beberu watano na wanakondoo madume watano wa mwaka mmoja kwa ajili ya sadaka ya amani. Hiyo ndiyo iliyokuwa sadaka ya Ahiezeri mwana wa Amishadai.

Hesabu 7

Hesabu 7:64-79