Hesabu 5:28 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini kama mwanamke huyo hajajitia unajisi na hana hatia, basi hatadhurika na ataweza kupata watoto.

Hesabu 5

Hesabu 5:20-31