Hesabu 33:24-30 Biblia Habari Njema (BHN)

24. Kutoka Mlima Sheferi walipiga kambi yao huko Harada.

25. Kutoka Harada, walipiga kambi yao huko Makelothi.

26. Kutoka Makelothi, walipiga kambi yao huko Tahathi.

27. Kutoka Tahathi walipiga kambi yao Tera.

28. Kutoka Tera walipiga kambi yao Mithka.

29. Kutoka Mithka, walipiga kambi yao Hashmona.

30. Kutoka Hashmona, walipiga kambi yao Moserothi.

Hesabu 33