Hesabu 29:38 Biblia Habari Njema (BHN)

Pia mtatoa beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi, licha ya ile sadaka ya kawaida ya kuteketezwa pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka ya kinywaji.

Hesabu 29

Hesabu 29:33-39