Hesabu 29:28 Biblia Habari Njema (BHN)

Mtatoa pia beberu mmoja kwa sadaka ya kuondoa dhambi, licha ya sadaka ya kawaida ya kuteketezwa, pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka yake ya kinywaji.

Hesabu 29

Hesabu 29:20-29