Hesabu 24:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Mungu aliwachukua kutoka Misri,naye huwapigania kwa nguvu kama nyati.Atayateketeza mataifa yaliyo adui zao,atavunjavunja mifupa yao,atawachoma kwa mishale yake.

Hesabu 24

Hesabu 24:3-17