Hesabu 23:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Balaki akafanya kama Balaamu alivyosema. Basi, wakatoa juu ya kila madhabahu kafara fahali mmoja na kondoo dume mmoja.

Hesabu 23

Hesabu 23:1-4