Hesabu 21:29 Biblia Habari Njema (BHN)

Ole wenu watu wa Moabu!Mmeangamizwa, enyi watu wa mungu Kemoshi!Umewafanya watoto wenu wa kiume kuwa wakimbizi,binti zako umewaacha wachukuliwe matekampaka kwa Sihoni, mfalme wa Amori.

Hesabu 21

Hesabu 21:23-33