Hesabu 21:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Kutoka huko walisafiri, wakapiga kambi kaskazini ya mto Arnoni, ambao hutiririka kutoka katika nchi ya Waamori na kupitia jangwani. Mto Arnoni ulikuwa mpaka kati ya Wamoabu na Waamori.

Hesabu 21

Hesabu 21:9-16