Hesabu 20:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Jumuiya nzima ya Waisraeli ilifika katika jangwa la Sinai mnamo mwezi wa kwanza, wakapiga kambi yao huko Kadeshi. Wakiwa huko, Miriamu alifariki, akazikwa.

Hesabu 20

Hesabu 20:1-4