Hesabu 18:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Wao watafanya kazi utakazowapa na kutimiza wajibu wao kuhusu hema. Lakini hawana ruhusa kuvigusa vyombo vya hema, wala kuikaribia madhabahu, wasije wakafa, nawe pia ukafa.

Hesabu 18

Hesabu 18:1-5