Hesabu 16:27 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wakaondoka kwenye makao ya Kora, Dathani na Abiramu.Dathani na Abiramu wakatoka mahemani mwao na kusimama mlangoni wakiandamana na wake zao na watoto wao wote hata wale wanaonyonya.

Hesabu 16

Hesabu 16:24-36