Hesabu 16:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini Mose na Aroni wakajitupa chini kifudifudi na kusema, “Ee Mwenyezi-Mungu uliye asili ya uhai wa binadamu wote. Je, mtu mmoja akikukosea, utaikasirikia jumuiya nzima?”

Hesabu 16

Hesabu 16:16-29