Hesabu 11:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Mose akaenda na kuwajulisha watu yale aliyosema Mwenyezi-Mungu. Kisha, akakusanya wazee sabini kutoka miongoni mwa wazee viongozi nao akawaweka kandokando kuizunguka hema.

Hesabu 11

Hesabu 11:19-30