Habakuki 3:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Akisimama dunia hutikisika;akiyatupia jicho mataifa, hayo hutetemeka.Milima ya milele inavunjwavunjwa,vilima vya kudumu vinadidimia;humo zimo njia zake za kale na kale.

Habakuki 3

Habakuki 3:2-12