Habakuki 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Wewe umeyapora mataifa mengi,lakini wote wanaosalimika watakupora wewe,kwa mauaji na dhuluma uliyoitendea dunia,naam, uliyoifanyia miji na wakazi wake wote.

Habakuki 2

Habakuki 2:2-14