Habakuki 2:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Kila mtu atamdhihaki mtu wa namna hiyona kumtungia misemo ya dhihaka:“Ole wako unayejirundikia visivyo vyako,na kuchukua rehani mali za watu lakini hulipi!Utaendelea kufanya hivyo hadi lini?

Habakuki 2

Habakuki 2:4-11