Habakuki 2:18 Biblia Habari Njema (BHN)

“Chafaa nini kinyago alichotengeneza mtu?Sanamu ni madini yaliyoyeyushwa,ni kitu cha kueneza udanganyifu!Mtengeneza sanamu hutumaini alichotengeneza mwenyewe,kinyago ambacho hakiwezi hata kusema!

Habakuki 2

Habakuki 2:17-20