Habakuki 2:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Utajaa aibu badala ya heshima.Utakunywa wewe mwenyewe na kupepesuka!Mwenyezi-Mungu mwenyewe atakulevya,na aibu itaifunika heshima yako!

Habakuki 2

Habakuki 2:13-20