Habakuki 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)

“Farasi wao ni wepesi kuliko chui;wakali kuliko mbwamwitu wenye njaa.Wapandafarasi wao wanatoka mbali,wanaruka kasi kama tai arukiavyo mawindo.

Habakuki 1

Habakuki 1:3-11