Habakuki 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Hivyo sheria haina nguvu,wala haki haitekelezwi.Waovu wanawazunguka waadilifu,hivyo hukumu hutolewa ikiwa imepotoshwa.”

Habakuki 1

Habakuki 1:1-9