22. Pamoja na hayo, nitayarishie chumba kwani natumaini kwamba kwa sala zenu, Mungu atanijalia niwatembeleeni.
23. Epafra, mfungwa mwenzangu kwa ajili ya Kristo Yesu, anakusalimu.
24. Nao akina Marko, Aristarko, Dema na Luka, wafanyakazi wenzangu, wanakusalimu.
25. Nawatakieni nyinyi nyote neema ya Bwana Yesu Kristo.