Ezra 4:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha mfalme akapeleka jibu lifuatalo:“Kwa mtawala Rehumu, kwa Shishai, katibu wa mkoa, pamoja na wenzenu wote wanaoishi Samaria na mahali penginepo katika mkoa wa magharibi ya Eufrate.

Ezra 4

Ezra 4:11-19