Ezra 2:40-42 Biblia Habari Njema (BHN)

40. Walawi wa ukoo wa Yeshua na wa Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74.

41. Waimbaji (wazawa wa Asafu), walikuwa 128.

42. Walinzi (wazawa wa Shalumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Shobai), walikuwa 139.

Ezra 2