Ezra 2:23-30 Biblia Habari Njema (BHN)

23. wa mji wa Anathothi: 128;

24. wa mji wa Azmawethi: 42;

25. wa mji wa Kiriath-yearimu, wa Kefira na wa Beerothi: 743;

26. wa mji wa Rama na wa Geba: 621;

27. wa mji wa Mikmashi: 122;

28. wa mji wa Betheli na Ai: 223;

29. wa mji wa Nebo: 52;

30. wa mji wa Magbishi: 156;

Ezra 2