Ezra 2:10-17 Biblia Habari Njema (BHN)

10. wa ukoo wa Bani: 842;

11. wa ukoo wa Bebai: 623;

12. wa ukoo wa Azgadi: 1,222;

13. wa ukoo wa Adonikamu: 666;

14. wa ukoo wa Bigwai: 2,056;

15. wa ukoo wa Adini: 454;

16. wa ukoo wa Ateri, yaani Hezekia: 98;

17. wa ukoo wa Besai: 323;

Ezra 2