Ezekieli 7:25-27 Biblia Habari Njema (BHN)

25. Uchungu mkali utakapowajia,watatafuta amani, lakini haitapatikana.

26. Watapata maafa mfululizo;nazo habari mbaya zitafuatana.Watamwomba nabii maono.Makuhani hawatakuwa na sheria yoyote;na wazee watakosa shauri la kuwapatia.

27. Mfalme ataomboleza,mkuu atakata tamaana watu watatetemeka kwa hofu.Nitawatenda kadiri ya mienendo yao,nitawahukumu kama nilivyowahukumu wengine.Ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.”

Ezekieli 7