Ezekieli 5:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini wakazi wake wameyaasi maagizo na kanuni zangu, wakawa wabaya kuliko mataifa na nchi zinazowazunguka. Naam, wameyakataa maagizo yangu na kuacha kuzifuata kanuni zangu.

Ezekieli 5

Ezekieli 5:5-14