Ezekieli 45:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Kila siku, katika muda huo wa siku saba, atamtolea sadaka Mwenyezi-Mungu fahali saba na kondoo madume saba wasio na dosari kwa kuwateketeza wazima. Tena ni lazima atoe sadaka kila siku ikiwa ni sadaka ya kuondoa dhambi.

Ezekieli 45

Ezekieli 45:19-25