Ezekieli 43:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Maono hayo yalikuwa kama maono niliyoyaona Mungu alipokuja kuuangamiza mji wa Yerusalemu. Pia yalifanana na maono niliyoyaona karibu na mto Kebari. Nikaanguka kifudifudi.

Ezekieli 43

Ezekieli 43:1-11