Ezekieli 43:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Vipimo vya madhabahu, vitakuwa vilevile kama vipimo vya hekalu. Kuuzunguka msingi wa madhabahu, kutakuwa na mfereji wenye kina cha sentimita 50 na upana wa sentimita 50, pamoja na ukingo wenye kina cha sentimita 25.

Ezekieli 43

Ezekieli 43:10-15